- October 7, 2026
- News, Upcoming News
Rai kwa Umma- Huduma za Tiba Shufaa ni Hitaji la Msingi la Kila Mtanzania
Kupitia Kongamano la Kisayansi la 4 la Kisayansi la Tiba Shufaa the 4th Public Health Palliative Care Scientific Congress-26;
Mgeni Rasmi Mheshimiwa Mizengo Peter Pinda- Waziri Mkuu Mstaafu (TZ) Atoa Rai Huduma za Tiba Shufaa & Wazee ziwafuate watanzania walipo.
Bonyeza link hapa chini kujua zaidi.
https://www.jamhurimedia.co.tz/pinda-atoa-wito-kuimarishwa-huduma-za-tiba-shufaa/
Kuungana na mabalozi wa Tiba Shufaa na Kutunza Wazee
Tuma Neno
Niunge kwenda
☎️0767001818
Kwa huduma
☎️0714510195

